SHAMBA LA KUKODI LINATAFUTA MWEKEZAJI AFUGE
Автор: Music and Animals Tanzania
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 285
Bei ya jioni kabisa, mazungumzo yanakaribishwa. Njoo uone, tuzungumze. Mabanda haya unaweza kufunga mfano broiler 4500-6000 kama unafugia chini ila ukitumia cages inategemea cages unaweza kufuga kuku kati ya 15,000-20,000. Mabanda yapo Kibaha, Boko Timiza. Bei elekezi ni lak 4 tu kwa mwezi pamoja na nyumba ya kuishi, umeme na maji unajilipia. Karibuni 0686418546 nan 0752207828
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: