MALIZIA NYUMBA HII UHAMIE; INAUZWA BEI YA JIONI
Автор: Music and Animals Tanzania
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 3501
Wahi ukarabati, uhamie nyumba hii. Nyumba ipo Kibaha-Pwani mtaa wa Sofu. Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja self, ina sebule kubwa na jiko. Ina shimo la choo lililo tayari kutumika. Imepigwa plasta na blunderring, imefanyiwa wiring na ina rough sakafu isipokuwa sebule na jiko. ina bomba la kuigizia umeme na maji ya kuvuta karibu. Boda boda kutoka Picha ya ndege ni 2000-2500 tu na unafika mpaka kwa gari dogo. Ipo karibu na majengo makubwa ya chuo cha biblia cha TAG. Eneo lake ni mita 20x40 na kuna shina la mgomba na papai na eneo wazi kubwa. Kuna msingi na ukuta wa ngazi 4 za tofali pande tatu. Milango ya mbao na fremu zake ipo. BEI NI MILIONI 32 CASH PIGA 0752207828 NA 0686418546
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: