Unawezaje kutunza/kuweka pesa ukiwa na mshahara wa kawaida?
Автор: G Online
Загружено: 2022-10-16
Просмотров: 3753
Kutunza pesa limekuwa ni jambo gumu sana kwa wengi na wengi wamekuwa wakifikri kuwa ili uweze kutunza pesa lazima uwe na mshahara mkubwa au kipato kikubwa sana jambo ambalo si la kweli. Swali ni unawezaji kuweka pesa/fedha ukiwa na mshahara/kipato cha kawaida?
"Siyo Kiasi gani chA fedha tunaingiza ndicho kitakachoamua mafanikio yetu bali ni kwa kiasi gani tunaweza kutunza"
Hii inafananishwa na tabia ya masikini walio wengi katika kutafuta na kutumia pesa.Masikini hutengeneza fedha kisha huzitapika kwa kuwa na matumizi yasiyo ya lazima na hatima'ye huendelea kuwa masikini.
Mafanikio yanataka juhudi nza muendelezo na kujitoa sana.Iwapo hatuwezi kulipa gharama kwenye maisha yetu, basi hatuwezi kufanikiwa katika kitu chochote na moja ya gharama kubwa sana tunayohitaji kulipa ili tuweze kufanikiwa kifedha ni wezo wa kuweka angalau 10% mpaka 20% ya kila fedha tunayoipata kwa malengo yetu ya baadaye.
Unaweza kuanza kuweka angalau 10% au hata 5% ya kila mapato yako ya siku, wiki au mwezi kwaajili ya lengo lako maalumu ulilojiwekea bila ya kuangalia shida ulizo nazo sasa hivi. Kwahiyo unawezaje kuweka pesa ukiwa na mshahara wa kawaida.Karibu
Asante kwa kuangalia , usisahau Kulike video hii, share na rafiki na Subscribe kwa video mpya kila wiki (Jumapili na alhamisi)!!
-----------------------------------------------------------------------------------------------------
🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako.
🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa
Usiache pia kuniandikia mawazo kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi.
🔴Nifuate IG- / gonline_pos. .
BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: [email protected] WHATSAPP : (+255) 629-718385
..............................................................................................................
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡ KUJIAMINI SELF CONFIDENCE- • KUJIAMINI -SELF- CONFIDENCE #Gonline
⚡VITU 6 HIVI HUZUIA MAENDELEO YAKO MAISHAINI-KUSHINDWA
KUFIKIA MAFANIKIO - • VITU 6 HIVI HUZUIA MAENDELEO YAKO MAISHAIN...
⚡Usikate Tamaa Kwenye Kitu Unachokiamini.Najua Leo Itakuwa Ngumu, Kesho itakuwa Mbaya zaidi- • Usikate Tamaa Kwenye Kitu Unachokiamini.Na...
⚡FAIDA ZA KUFANYA KAZI KWA BIDII- • FAIDA ZA KUFANYA KAZI KWA BIDII
⚡NJIA 6 ZA KUONDOA MSONGO WA MAWAZO/HOW TO STOP STRESS- • NJIA 6 ZA KUONDOA MSONGO WA MAWAZO/HOW TO...
⚡Hatua 5 Jinsi Ya Kuboresha Maisha Yako Ndani ya Miezi 2- • Hatua 5 Jinsi Ya Kuboresha Maisha Yako Nda...
⚡MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA ASUBUHI-KUWEZA KUIKABILI SIKU NZIMA- • MAMBO YA KUEPUKA KUFANYA ASUBUHI-KUWEZA KU...
⚡Sababu 5 Watu Ukata Tama Kwenye Malengo Yao Mapema - • Sababu 5 Watu Ukata Tama Kwenye Malengo Y...
#Kuwekaakiba #Mshaharawakawaida
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: