TAREIKH YETU MSIMU WA TATU (SILSILA 8): Utawala wa Sayyid Barghash 1870 - 1888 (Sehemu ya Kwanza)
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2022-09-07
Просмотров: 2082
Sayyid Barghash bin Said Al Busaidi anatajwa kama mwanamageuzi na mwanamaendeleo. Ndiye aliyejenga Beit Al Ajaib na kuanzisha sarafu rasmi ya Zanzibar, mbali ya mengine mengi makubwa ya zama zake. Hii ni sehemu ya kwanza ya jinsi alivyoingia madarakani na kutawala.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: