Rais John Magufuli alivyoagana na Rais Paul Kagame JNIA
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-03-08
Просмотров: 4008
Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo tarehe 08 Machi, 2019 amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 2 hapa nchini na kurejea nchini kwake, baada ya hapo jana kufanya mazungumzo na Rais wa Tanzania, John Magufuli, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Rais Kagame ameagwa na mwenyeji wake Rais Magufuli.
#AzamTVApp #AzamTVUpdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: