MISA TAKATIFU YA SHUKRANI YA SR. BEATRICE. (PART 2)
Автор: Huruma Online TV
Загружено: 2025-12-16
Просмотров: 58
Misa takatifu ya shukrani ya Sr. Beatrice Priscus Bureta wa shirika la masista wa Mama wa Usambara Kwamndolwa Korogwe kwa ajili ya kuweka nadhiri ya daima. Inayofanyika Parokia tarajiwa ya Kristo Mfalme Duga Jimbo katoliki Tanga.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: