MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA - JOHN MGANDU | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)
Автор: Jugo Media Network
Загружено: 2020-04-03
Просмотров: 2800
WIMBO WA KATIKATI DOMINIKA YA MATAWI, NYIMBO ZA KWARESMA
Wimbo: Mungu wangu mbona umeniacha
Mtunzi: John Mgandu
Kundi la Wimbo: Wimbo wa Katikati, Dominika ya Matawi
Organist: Alex Rwelamira
Church/Location: Bikira Maria mama wa Mkombozi, Kipawa
Video Credit: JUGO MEDIA
Society: Tanzania Organists Society (TOS)
MANENO YA WIMBO
kiitikio
Mungu wangu mbna umeniacha.
1.Wote wanionao hunicheka sana/ hunifyonya , wakitiisa vichwa vyao.
2..Husema: Amtegemeaye Bwana; na amponye/ na amwokoe sasa maana apendezwa naye.
3.Kwa maana mbwa wamenizunguka/ kusanyiko la waovu wamenisonga.
4.WAmenitoboa mikono na miguu/ naweza kuihesabu mifupa ya ngu yote.
5.wanagawanyanguo zangu / na vazi langu wanalipigia kura.
6.Nawe Bwana usiwe mbali/ Ee Mungu wangu fanya haraka kunisaidia.
7.Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu / katikati ya kusanyiko nitakusifu.
8. Ninyi mnaomcha Bwana msifuni/Wazao wa Yakobo ni tukuzeni.
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: