KWELI NI HUZUNI - TRADITIONAL | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)
Автор: Jugo Media Network
Загружено: 2020-04-04
Просмотров: 3677
Wimbo: Kweli ni huzuni
Mtunzi: Hajulikani
Kundi la Wimbo: Wimbo wa Mateso, Juma Kuu
Organist: Michael Boaz
Church/Location: Bikira Maria mama wa Mkombozi, Kipawa
Video Credit: JUGO MEDIA
Society: Tanzania Organists Society (TOS)
Maneno ya wimbo
Kweli ni huzuni kwa kifo chake Bwana Yesu alivyowambwa pale mtini alisema moyoni namaliza kwa huzuni.
Akalia kwa huzuni hata mwisho alikufa pale juu msalabani akakata roho kwa huzuni
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: