JINSI YA KUPIKA BAJIA ZA DEGU
Автор: Meju Mapishini
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 67
MAHITAJI
Unga wa degu(garam flour) 2 cups
Baking powder kijiko 1
Baking soda ¼ kijiko cha chai
Chumvi 1 kijiko cha chai
Karoti 1
Kitunguu saum tembe 4
Kitunguu maji 1
Mafuta ya kupikia nusu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: