Maoni: Nini chanzo cha mgogoro wa Sudan Kusini?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-03-22
Просмотров: 2223
Sudan Kusini ni nchi changa zaidi ulimwenguni tangu ilipojitenga na Sudan na kuwa taifa huru kivyake. Hata hivyo nchi hiyo imezidi kuzongwa na mivutano na maafa ya kisiasa. Kwa sasa hofu imetanda ya kuzuka kwa mvutano mpya huku ikiripotiwa kuwa Uganda imepeleka vikosi vyake Sudan Kusini. Kulikoni? Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kinachambua chanzo cha migogoro ya Sudan Kusini. Nahodha wa zambu ni Zainab Aziz akiwahoji wachambuzi. #dwkiswahili #dwswahili #dwkiswahilipodcast #maoni #uchambuzi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: