Museveni VS Bobi: kampeini za uchaguzi mkuu zaanza rasmi Uganda, katika Dira ya Dunia TV
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2025-09-29
Просмотров: 27221
Kampeni za kuwania urais zimeanza rasmi nchini Uganda huku wagombea wanane akiwemo Rais Yoweri Museveni wakitarajiwa kuchuana katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Leo baadhi ya vyama vimezindua sera zao kwa wapiga kura.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: