MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR (ACT) KUWASILISHA CHANGAMOTO ZA WAKULIMA SERIKALINI/AMTAJA BASHE
Автор: Site Tv Online
Загружено: 2024-01-14
Просмотров: 986
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman amesema amesikia changamoto mbalimbali za wakulima wa mkoa wa Ruvuma ikiwemo changamoto ya bei za mahindi hivyo atawasilisha changamoto hizo kwa serikali ili wakulima wa mkoa wa Ruvuma waweze kunufaika na kilimo chao.
Hayo ameyasema mkoani Ruvuma katika ziara yake ya ujenzi wa Chama Cha ACT Wazalendo katika mikoa ya kusini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: