Jinsi ya Kuanza Freelancing Tanzania | Usifungue Akaunti ya Upwork Kabla Hujatazama Hii!
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2026-01-12
Просмотров: 392
Unataka kufanya kazi mtandaoni lakini hujui uanzie wapi? Acha kupoteza muda kuangalia video za "Get Rich Quick". Hii hapa njia ya uhakika.
Leo natoa darasa kamili (Masterclass) kuhusu jinsi ya kuanza Freelancing kwa kijana wa Kitanzania. Tunaangalia jinsi ya kuchagua ujuzi unaolipa (kama Graphics au Writing), jinsi ya kujenga Portfolio hata kama huna mteja, na siri ya kupata wateja wa kwanza kupitia Instagram kabla hujakimbilia Upwork. Pia, nakuonyesha jinsi ya kupokea malipo yako kwa M-Pesa. Hii ni ramani kamili ya kutoka sifuri mpaka kuanza kulipwa.
Umechagua ujuzi gani kuanza nao? Niandikie "NAANZA [UJUZI WAKO]" hapo chini! 👇
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#freelancing #onlineincome #pesamtandaoni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: