Jinsi ya Kusoma IT na Kuwa Engineer (Hata Kama Ulisoma Masomo ya Arts)
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 439
Kuna uongo mkubwa mtaani kwamba IT ni ya watu wa Sayansi tu. Kama ulisoma Arts na unatamani kuingia kwenye Tech, video hii itabadilisha maisha yako leo.
Namjibu mwenzetu aliyeuliza kama mwanafunzi wa Arts anaweza kusoma IT. Jibu langu kwake utalipata Katika video hii, natoa ramani kamili ya jinsi ya kutoka HGL au HKL mpaka kuwa Software Engineer. Tunaangalia njia ya Vyuo (Certificate - Diploma - Degree) na njia ya kujifunza mwenyewe (Self-Taught). Pia, navunja hofu ya "Hesabu" kwenye IT na kukuonyesha maeneo kama UI/UX na Digital Marketing ambapo watu wa Arts wanatawala soko. Usikubali ndoto yako ife kisa Physics ya Form 2.
Wewe ulisoma mchepuo gani (Combination)? Tuambie kwenye comments! 👇
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#teknolojia #elimu #informationtechnology
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: