JE KUNYONYESHA BAADA YA KUJIFUNGUA INAWEZA KUTUMIKA KAMA NJIA YA UZAZI WA MPANGO?
Автор: Kahibi Bernard
Загружено: 2025-12-18
Просмотров: 380
Mwanamke akijifungua kwa kawaida huwa anasimama kuona siku za hedhi wakati akiwa ananyonyesha wengine huita kunyonyesha kiume
1.Je Kunyonyesha kunaweza kutumika kama njia ya uzazi wa upango?
2.Je unaweza kubeba mimba ukiwa unanyonyesha kabla ya kuanza kuona hedhi?
3.Kati ya mayai kukomaa na hedhi kipi hutangulia?
SIKILIZA HII VIDEO UPATE MAJIBU KWA MASWALI HAYO.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: