Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

LUGOLA ASKARI ATAKAYESHIKWA NDEVU NA JAMBAZI KUKIONA

Автор: GSengo

Загружено: 2018-11-23

Просмотров: 44117

Описание:

GSENGOtV
Ziara ya Waziri Kangi Lugola jijini hapa imekuja mara baada ya tukio kubwa la kusisimua lililotokea hivi karibuni baada ya jeshi la polisi mkoani Mwanza kufanikiwa kuanza kuvunja mtandao wa majambazi ambapo mara baada ya kuzuka majibizano ya silaha za moto kwa zaidi ya muda wa dakika 45, polisi walifanikiwa kuwauwa zaidi ya majambazi 7 wanaosadikika kuhusishwa na matukio kadhaa ya uhalifu Kanda ya Ziwa.
Akizungumza na maofisa wa polisi na baadhi ya askari wa vikosi vyote vya polisi jijini hapa leo Ijumaa Novemba 23,2018 katika viwanja vya polisi Mabatini, Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema askari wote walioshiriki katika mapambano na kufanikisha zoezi hilo lililotokea Novemba 15, 2018 jijini Mwanza watapandishwa vyeo.
"Kwenye sheria yetu ya Jeshi la polisi na polisi wasaidizi sura ya 322, ukienda kwenye makosa ya kinidhamu ya askari, Ni kosa kwa askari kuwa mwoga, 'askari hupaswi kukimbia tukio' lazima ukabiloane nalo" Naomba nikuhakikishie Kamanda Shanna, kwa wale vijana wote waliofanya kazi kubwa kwenye tukio la juzi kukabiliana na majambazi, mimi kama Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi kwa amri ya Serikali tutawapa zawadi ya kuwapandisha vyeo"
Lugola ametumia fursa hiyo kuwahakikishia wananchi kuwa wapo salama na kuwatumia salamu wanaofanya uhalifu kwamba bora wajisalimishe na kuacha mara moja vitendo hivyo vinginevyo watashughulikiwa popote watakapokuwa hata kama ni mapangoni maana Serikali ina mkono mrefu.

Awali, Kamanda wa polisi Mkoa wa Mwanza, Jonathan Shana amesema mkoa huo upo shwari licha ya kuwapo matukio kadhaa ya wahalifu lakini wamekuwa wakiwadhibiti kabla ya kutekeleza azma yao.

LUGOLA   ASKARI ATAKAYESHIKWA NDEVU NA JAMBAZI KUKIONA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

"Kiukweli Hakuna Mbwa Aliyepotea, Ni Upotoshaji" - POLISI

BALAA! 'Saa 12 IGP  Sirro ahakikishe anakuja na huyo Mbwa'-Waziri Kangi Lugola

BALAA! 'Saa 12 IGP Sirro ahakikishe anakuja na huyo Mbwa'-Waziri Kangi Lugola

MCHUNGAJI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU KAULI YAKE

MCHUNGAJI AFUNGUKA MAZITO KUHUSU KAULI YAKE

ТЫНАР & АБДЫЛДА//КОРКОК ДЕПУТАТ//ЭЛ КҮЛҮП ЖЫРГАДЫ

ТЫНАР & АБДЫЛДА//КОРКОК ДЕПУТАТ//ЭЛ КҮЛҮП ЖЫРГАДЫ

Askari Polisi kulawiti Watuhumiwa, Kangi Lugola afanya uamuzi huu, ashitukiza Sitakishari

Askari Polisi kulawiti Watuhumiwa, Kangi Lugola afanya uamuzi huu, ashitukiza Sitakishari

Kamanda Shana aanza na 'matapeli wa Dollar' bandia

Kamanda Shana aanza na 'matapeli wa Dollar' bandia

MZEE ALIYEMPA JOGOO HAYATI JPM, ATUA NA JOGOO BUNGENI AMPATIA BASHUNGWA

MZEE ALIYEMPA JOGOO HAYATI JPM, ATUA NA JOGOO BUNGENI AMPATIA BASHUNGWA "LILE TENDO NI LA UJASIRI"

"SITOONGEZA HATA SEKUNDE UJENZI WA BARABARA NA DARAJA LA MKUYUNI" WAZIRI ULEGA

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 25/12/2025 ALHAMISI ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 25/12/2025 ALHAMISI ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

Waziri Lugola awaonya askari 'Ole wake askari atayeongozwa na njaa zake'

Waziri Lugola awaonya askari 'Ole wake askari atayeongozwa na njaa zake'

Ырчылык атак-даңкка  жеттим, бирок... | Алтынай Нарбаева | Ernis Kyiaz Podcast

Ырчылык атак-даңкка жеттим, бирок... | Алтынай Нарбаева | Ernis Kyiaz Podcast

Msikilize Kamanda Shana akisifia kazi aliyofanya Mwanza

Msikilize Kamanda Shana akisifia kazi aliyofanya Mwanza

#LIVE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU CHRISMASS PAROKIA YA KRISTO MFALME-MOSHI

#LIVE ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU CHRISMASS PAROKIA YA KRISTO MFALME-MOSHI

WALIOHUSIKA NA UPOTEVU  WA MILIONI 48 ZA MRADI WA SHULE KIKAANGONI MTWARA

WALIOHUSIKA NA UPOTEVU WA MILIONI 48 ZA MRADI WA SHULE KIKAANGONI MTWARA

Жогорку Кеңештин жаңы депутаттары биринчи иш күнүн кантип баштады?  #жогоркукеңеш #депутаттар

Жогорку Кеңештин жаңы депутаттары биринчи иш күнүн кантип баштады? #жогоркукеңеш #депутаттар

MFUGAJI MKURANGA AELEZEA JINSI YA KUWA BILIONEA KWA KUFUGA KUKU WA MAYAI .

MFUGAJI MKURANGA AELEZEA JINSI YA KUWA BILIONEA KWA KUFUGA KUKU WA MAYAI .

Շահումյան․ 20-րդ դարի ամենահակասական հայ կերպարը — Լենինի ժառանգ՞, թե Առաջին Հանրապետության թշնամի՞

Շահումյան․ 20-րդ դարի ամենահակասական հայ կերպարը — Լենինի ժառանգ՞, թե Առաջին Հանրապետության թշնամի՞

MAKALA MAALUMU YA TALIRI KANDA YA KATI

MAKALA MAALUMU YA TALIRI KANDA YA KATI

CHEKI HII YA WAZIRI LUGOLA AKIMTIMUA KAMISHINA WA MAGEREZA KIKAONI

CHEKI HII YA WAZIRI LUGOLA AKIMTIMUA KAMISHINA WA MAGEREZA KIKAONI

💥7 МИНУТ НАЗАД! Серия убийств ТОП ГЕНЕРАЛОВ РФ! Спецслужбы БЕССИЛЬНЫ, у Z-ников ИСТЕРИКА - НАКИ

💥7 МИНУТ НАЗАД! Серия убийств ТОП ГЕНЕРАЛОВ РФ! Спецслужбы БЕССИЛЬНЫ, у Z-ников ИСТЕРИКА - НАКИ

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]