The Harmony Tz - BARAKA ZAKE MUNGU (Chuo Kikuu Camp Meetings)
Автор: The Harmony Tz
Загружено: 2025-09-08
Просмотров: 763
“Onjeni muone ya kuwa Bwana ni mwema, heri mtu anayemtumainia yeye”. Zaburi 34:8
Fungu hili halizungumzii kusikia tu au kusimuliwa, bali kila mtu aende ajaribu mwenyewe kumwona Mungu katika maisha yake. Ni kama kuonja chakula huwezi kujua utamu wake mpaka uonje. Vivyo hivyo, ukimkaribia Mungu, utaona kwa hakika wema wake.
Ipo ahadi ya Baraka kwa wale wote wanaoweka tumaini lao kwa Mungu. Tumaini kwa watu linaweza kuvunjika lakini tumaini kwa Mungu wetu litasimama imara daima
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: