KUSIMAMA KWA UKARABATI MABWENI SONGEA GIRLS KWAONGEZA MSONGAMANO MABWENINI
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2019-02-03
Просмотров: 1442
Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa ya Rais Dkt John Magufuli imetoa zaidi ya bilioni 1.4 kwa ajili ya ukarabati wa majengo yote ya shule ya Sekondari Songea Girls iliyoanzishwa mwaka 1974 yenye wanafunzi 850 wanaosoma kidato cha tano na sita.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: