DALILI ZA CHANGO LA UZAZI
Автор: Kahibi Bernard
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 393
Chango la uzazi ni maambukizi ya viungo vya uzazi vya mwanamke, ikiwemo uterasi (kipande cha kizazi), mirija ya mayai (fallopian tubes), na ovari.
3. Dalili za PID:
Maumivu ya tumbo la chini au mgongoni
Kutokwa na uchafu wa uke (mavimbe au harufu mbaya
Kuhisi homa au kutetemeka (mara chache)
Maumivu wakati wa kushikana kimapenzi au wakati wa hedhi
chukua tahadhari
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: