Taasisi zenye mishahara mikubwa Tanzania 2025/2026
Автор: Mswax Info
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 15121
kwenye video hii nimeongelea taasisi baadhi zenye mishahara minono au mikubwa Tanzania Kwa nini zina mishahara minono hizi taasisi ni nyeti sana na muhimu sana Tanzania hivyo basi tegemea hata mshahara lazima uwe mnono
Lakini pia nimeongelea vitengo nyeti vyenye mishahara minono vitengo baadhi vyenye mishahara minono kwenye taasisi hizo
Usisahau ku subscribe na ku share video hii
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: