Familia ya msichana aliyeuwawa Roysambu yasema mshukiwa alidai Ksh.500k
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-01-17
Просмотров: 80417
Mwanamke aliyeuawa katika eneo la Roysambu ametambuliwa kama Rita Waeni Muendo mwenye umri wa miaka 20 na mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha JKUAT.
Kulingana na taarifa kutoka kwa familia, mshukiwa wa mauaji alitumia babake waeni ujumbe akitaka malipo ya shilingi laki tano ili kumwachilia huru, fedha alizotakiwa kulipa chini ya muda wa saa 24.
Haya yanajiri huku polisi wakiendelea kumsaka mshukiwa mkuu wa mauaji hayo ambaye bado yuko mafichoni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: