MUONGOZO WA UFUGAJI KUKU CHOTARA KIBIASHARA
Автор: Ben Kukufarm
Загружено: 2025-07-06
Просмотров: 1780
Karibu kwenye video hii ambapo tunakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kufuga kuku chotara kwa mafanikio makubwa. Kuku chotara ni aina bora ya kuku wanaokua haraka, wanastahimili magonjwa na wanafaa kwa mayai au nyama.
Katika video hii utajifunza:
✅ Umuhimu wa kuchagua aina sahihi ya kuku
✅ Jinsi ya kuandaa banda bora
✅ Malezi ya vifaranga wa siku 1
✅ Ratiba ya chakula na chanjo
✅ Utunzaji wa usafi na afya ya kuku
✅ Mbinu za masoko na uuzaji wa bidhaa
Huu ni mwongozo muhimu kwa wafugaji wapya na wale wa muda mrefu. Tazama hadi mwisho ujifunze mbinu zitakazokusaidia kuepuka hasara na kuongeza faida.
Kwa mafunzo zaidi au ushauri: 0746 124 684
Usisahau ku- Subscribe, Like na Share ili wengine nao wajifunze!
#UfugajiWaKuku #KukuChotara #BenKukuFarm #KilimoBiashara #FugaKitaalamu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: