Ben Kukufarm

Been kukufarm ni channel maarum kwaajili ya kujifunza kuhusu ufugagi kuku tuniangazia magonjwa ya kuku,chanjo matibabu, mbinu za ufugaji wa kisasa, jibsi ya Kutunza vifaranga bila vifo,namna ya kujenga mabanda Bora ya kuku, aina mbalimbali za kuku hasara faida na changamoto zake katika ufugaji