Namna ya kuzalisha mbegu za vitunguu maji || hatua kwa hatua jinsi ya kuzalisha mbegu
Автор: Ben Kukufarm
Загружено: 2025-07-15
Просмотров: 834
Karibu kwenye video hii maalum inayokuonesha hatua kwa hatua uzalishaji wa mbegu za vitunguu maji. Utajifunza namna ya kuchagua vitunguu bora, kuandaa shamba, kupanda "mother bulbs", kutunza mimea hadi kuchanua, na hatimaye kuchuma na kuhifadhi mbegu bora kwa ajili ya kilimo au biashara.
Ni mwongozo kamili kwa mkulima yeyote anayetaka kujitegemea kwa mbegu na kuongeza kipato. Tazama hadi mwisho ujifunze mbinu bora na makosa ya kuepuka.
Usisahau kusubscribe, kushare na ku-comment.
Kwa mafunzo zaidi, wasiliana kupitia namba iliyo kwenye maelezo.
#Vitunguu #KilimoBiashara #MbeguBora #KilimoChaKisasa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: