Kuku Wako Wakiugua, Tumia Hii Dawa Asilia | jinsi ya kuandaa dawa ya asili
Автор: Ben Kukufarm
Загружено: 2025-09-13
Просмотров: 4740
Jinsi ya Kutengeneza Dawa Asilia kwa Kuku | Aloe Vera, Tangawizi, Limau na Kitunguu Saumu
Katika video hii, utajifunza jinsi ya kutengeneza dawa ya asili kwa kuku kutumia viungo vinavyopatikana jikoni kama *Aloe Vera, Tangawizi, Limau na Kitunguu Saumu*. Mchanganyiko huu ni tiba bora ya:
Mafua ya kuku
Kuharisha
Minyoo
Kuku waliodhoofika au waliopata stress
Faida:
✔ Huongeza kinga ya mwili
✔ Huimarisha afya ya kuku
✔ Hupunguza matumizi ya antibiotics
✔ Ni salama na rahisi kutumia
▶️ Watch till the end ujue kipimo sahihi, muda wa matumizi na faida kwa kuku wa mayai na nyama.
📌Subscribe kwa mafunzo zaidi ya ufugaji bora na dawa asilia.
📢 Drop a comment kama una swali au maoni.
#DawaAsilia #UfugajiWaKuku #OrganicPoultry #KukuBilaAntibiotics #NaturalChickenRemedy #AloeVera #Tangawizi #KitunguuSaumu #PoultryFarmingAfrica
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: