DAWA 1 YA ASILI INAYOTIBU MAGONJWA 3 YA KUKU
Автор: KingoFarm
Загружено: 2025-07-08
Просмотров: 23534
Katika video hii ya KingoFarm, tunakuonyesha JINSI ya kutengeneza *dawa moja ya asili* inayoweza kutibu **magonjwa matatu makubwa ya kuku**: mafua, kuharisha na minyoo — bila kutumia antibiotics.
🟢 Dawa hii ni rahisi kuipata, salama kutumia, na inafaa kwa broiler, kienyeji na chotara.
🛡️ Inafanya kazi kama kinga na tiba pia!
🔔 USISAHAU KUSUBSCRIBE kwa video nyingine nyingi za tiba za asili kwa kuku wako!
---
📚 Unahitaji tiba zaidi?
✅ Nunua kitabu chetu: Tiba 20 Asili kwa Kuku kwa Tsh 10,000
✅ Jiunge na kundi la WhatsApp la KingoFarm kwa Tsh 8,000 (miezi 2)
👉 Tuma neno *“TIBA”* kwenda WhatsApp: *0712 188 239*
#kingofarm #tibazasili #kuku #dawayakuku #kukuwaasili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: