"Ikiwa anataka kufanya mapenzi nami ni sawa" - BBC Africa Eye
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2018-08-29
Просмотров: 9925
Kilichokuwa kinafanywa kwa siri zamani, sasa hivi kiko wazi na katika mitandao ya kijamii.
Baadhi Wanawake katika vyuo kikuu, vilabu na hata katika Mtandao wa Instagram, sasa kinadada wanakiri bila hofu kuwa wanadhaminiwa na wazee ambapo nao kwa upande wao wanafanya mapenzi nao.
Je shughuli ya kutatufa mdhamini au 'sponsor', tajiri inahusika na mahitaji ama ulafi?
Chochote kinachosababisha haya, vijana wengi barani Afrika wanatafuta njia za kuwavutia masugar daddy na masugar mummy kwa matumaini ya kubadilisha maisha yao.
Subscribe : https://www.youtube.com/watch?v=PPDlH...
Website : https://www.bbc.com/swahili/habari-45...
Instagram : / bbcswahili
Facebook: / bbcnewsswahili
Twitter : / bbcswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: