MABORESHO UWANJA WA NDEGE MTWARA YAFUNGUA ENZI MPYA YA SAFARI ZA USIKU NA NDEGE KUBWA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 30
MABORESHO UWANJA WA NDEGE MTWARA YAFUNGUA ENZI MPYA YA SAFARI ZA USIKU NA NDEGE KUBWA
Uwanja wa Ndege wa Mtwara umeingia rasmi katika ramani mpya ya usafiri wa anga baada ya Serikali kukamilisha maboresho makubwa yaliyoanza kuzaa matunda haraka ikiwemo safari za usiku na kutua kwa ndege kubwa, hatua inayoongeza fursa za kiuchumi na kijamii kwa ukanda wa Kusini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Meneja wa Uwanja huo, Selestin Felishen Kambona, amesema uwekaji wa taa za kisasa za kuongozea ndege umetatua changamoto ya muda mrefu ya kutokuweza kutua usiku, huku idadi ya abiria ikiongezeka kwa kasi.
#MtwaraMpya
#SafariZaUsiku
#MaendeleoYaAnga
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: