Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mafunzo ya Zao la Nazi Yafungwa, Ushirikiano Mpya Wawekwa

Автор: kilimo tv

Загружено: 2025-12-19

Просмотров: 287

Описание:

Naibu Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Dkt. Salum Soud Hamed, amesema Wizara ya Kilimo imeendelea kuwa mstari wa mbele katika kuwapatia wakulima elimu yenye lengo la kuongeza uzalishaji wa zao la nazi pamoja na mazao mengine nchini .

Dkt. Salum ameyasema hayo katika hafla ya kufunga mafunzo ya siku 19 ya Uboreshaji wa Aina za Nazi pamoja na Udhibiti wa Wadudu na Magonjwa ya Mimea, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi. Mafunzo hayo yaliwalenga wataalamu wa kilimo pamoja na wakulima kutoka Unguja na Pemba.

Naibu Waziri amesisitiza kuwa uwepo wa Taasisi ya Chinese Academy of Tropical Agricultural Sciences (CATAS) utasaidia kwa kiasi kikubwa kubuni na kutumia njia bora zitakazoongeza uzalishaji wa zao la nazi Unguja na Pemba, kutokana na uzoefu mkubwa wa taasisi hiyo katika masuala ya teknolojia na ubunifu wa kilimo.

Aidha, amehimiza ushirikiano ulioanzishwa kati ya CATAS na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo Zanzibar (ZARILI) kupitia hati ya makubaliano kuwa endelevu, ili tafiti zitakazofanywa ziweze kuleta tija katika sekta ya kilimo na kwa jamii kwa ujumla.

Awali, akitoa taarifa ya mafunzo hayo, Msimamizi na Mratibu wa Mafunzo kwa upande wa Zanzibar, Bw. Masoud Salum Abdi, amesema Taasisi ya CATAS imefurahishwa na namna washiriki walivyopokea mafunzo kwa uelewa mzuri, na kuahidi kuendelea kushirikiana ili kuhakikisha teknolojia za kilimo zinawafikia wakulima na kuongeza tija katika uzalishaji.

Kwa upande wake, Makamu wa Rais wa Masuala ya Usindikaji kutoka CATAS, Bi. Chen Jiaying, amesema wako tayari kuunganisha utaalamu katika masuala ya uzalishaji na usindikaji wa mazao ili kupata bidhaa bora za kilimo. Ameongeza kuwa taasisi hiyo itajikita zaidi katika mazao ya kijamii yakiwemo nazi, machungwa, maembe na mbogamboga, kwa lengo la kuimarisha mnyororo wa thamani na kuwekeza zaidi katika tafiti zitakazotoa matokeo chanya na yenye manufaa.

Naye Bw. Ali Ussi Mohamed, akitoa shukrani kwa niaba ya washiriki wa mafunzo, amesema wanaishukuru Wizara ya Kilimo pamoja na CATAS kwa mafunzo waliyopewa, na kuahidi kuyatumia kwa vitendo ili kuongeza uzalishaji wa zao la nazi pamoja na mazao mengine.
Katika hafla hiyo pia, kuliwekwa saini hati ya makubaliano kati ya Taasisi ya Chinese Academy of Tropical Agricultural Sciences (CATAS) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Mifugo Zanzibar (ZARILI), kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kufufua kiwanda kilichopo katika Kituo cha Kilimo Bambi, ambacho kilianzishwa kwa ajili ya kuendeleza zao la nazi pamoja na usindikaji wa mazao mengine ya mboga na matunda.

Mafunzo ya Zao la Nazi Yafungwa, Ushirikiano Mpya Wawekwa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

VPN скоро запретят? Мобилизация: секреты Реестра воинского учёта. Телефоны россиян добавят в базу

VPN скоро запретят? Мобилизация: секреты Реестра воинского учёта. Телефоны россиян добавят в базу

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

🤯ЮНУС в прямом эфире РФ сказал НЕУДОБНУЮ ПРАВДУ. У Путина РЕЗКО вырубили ЭФИР. Гляньте

🤯ЮНУС в прямом эфире РФ сказал НЕУДОБНУЮ ПРАВДУ. У Путина РЕЗКО вырубили ЭФИР. Гляньте

Просыпаетесь в 3–4 ночи? 5 причин, о которых молчат после 40

Просыпаетесь в 3–4 ночи? 5 причин, о которых молчат после 40

MBASHARA: UFUNGUZI WA MAABARA YA AFYA YA WANYAMA (ZALIRI)

MBASHARA: UFUNGUZI WA MAABARA YA AFYA YA WANYAMA (ZALIRI)

Wizara ya Kilimo Yaonesha Nguvu Maonesho ya Kimataifa ya Biashara | Mafunzo ya Mifugo na Misitu

Wizara ya Kilimo Yaonesha Nguvu Maonesho ya Kimataifa ya Biashara | Mafunzo ya Mifugo na Misitu

Почему римский БЕТОН прослужит 2000 лет, а наш — умрёт через 50 лет

Почему римский БЕТОН прослужит 2000 лет, а наш — умрёт через 50 лет

TAZAMA WAFUGAJI WANAOTUMIA TEKNOLOJIA MPYA NA  ZA KISASA KUONGEZA UZALISHAJI

TAZAMA WAFUGAJI WANAOTUMIA TEKNOLOJIA MPYA NA ZA KISASA KUONGEZA UZALISHAJI

⚡️ У Путина экстренно просят помощи || Сын Кадырова разбился в ДТП?

⚡️ У Путина экстренно просят помощи || Сын Кадырова разбился в ДТП?

DK.MWINYI APOKELEWA KWA SHANGWE NA WAFANYAKAZI WAKE IKULU - PEMBA.

DK.MWINYI APOKELEWA KWA SHANGWE NA WAFANYAKAZI WAKE IKULU - PEMBA.

Армянин, который был БОГАЧЕ Ротшильдов. Вся ПРАВДА об «Армянском Нефтяном Короле».

Армянин, который был БОГАЧЕ Ротшильдов. Вся ПРАВДА об «Армянском Нефтяном Короле».

Анатолий Лукьянов:

Анатолий Лукьянов: "Я скоро умру, так что позвольте, всё-таки, я расскажу..."

MAAGIZO YA DKT.DAMAS  NDUMBARO  WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA KWA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

MAAGIZO YA DKT.DAMAS NDUMBARO WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA KWA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

ArmComedy 1367 - TRIPP և պարգևավճարներ

ArmComedy 1367 - TRIPP և պարգևավճարներ

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI | LIVE

UFUNGUZI WA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI | LIVE

ГЕНЕРАЛЫ-НАРКОБАРОНЫ: ФСБ штурмует элитные особняки. Найдено 8 тонн героина!

ГЕНЕРАЛЫ-НАРКОБАРОНЫ: ФСБ штурмует элитные особняки. Найдено 8 тонн героина!

КУСТО УВИДЕЛ ЧТО СКРЫВАЛИ НА ДНЕ БАЙКАЛА! О ЧЕМ МОЛЧАЛ СССР?

КУСТО УВИДЕЛ ЧТО СКРЫВАЛИ НА ДНЕ БАЙКАЛА! О ЧЕМ МОЛЧАЛ СССР?

Для Чего РЕАЛЬНО Нужен был ГОРБ Boeing 747?

Для Чего РЕАЛЬНО Нужен был ГОРБ Boeing 747?

Уоррен Баффет: Если вы хотите разбогатеть, перестаньте покупать эти 5 вещей.

Уоррен Баффет: Если вы хотите разбогатеть, перестаньте покупать эти 5 вещей.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com