Wizara ya Kilimo Yaonesha Nguvu Maonesho ya Kimataifa ya Biashara | Mafunzo ya Mifugo na Misitu
Автор: kilimo tv
Загружено: 2026-01-03
Просмотров: 101
Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo imeshiriki kikamilifu katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara kwa kuonesha huduma, bunifu na fursa mbalimbali katika sekta ya kilimo, mifugo na misitu. Kupitia Idara ya Mifugo, Wizara kwa kushirikiana na TFS pamoja na kampuni ya Fambase imeendesha mafunzo mafupi kwa wadau na watoa huduma, yakilenga kuimarisha uelewa, ujuzi na matumizi bora ya rasilimali za misitu na mifugo kwa maendeleo endelevu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: