Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2021-03-29

Просмотров: 77602

Описание:

Kwa kawaida mtoto anaweza kucheza kuanzia Mara 3 mpaka Mara 100 ndani ya saa 1!

Tafiti nyingi zilionesha ya kwamba kupunguza kwa kucheza kwa mtoto tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari zaidi ukilinganisha na mtoto kuongezeka kucheza tumboni.

Japokuwa tafiti za miaka ya hivi karibu zimeonesha kwamba 10% - 30% ya Wajawazito walio jifungua watoto waliofariki au Mimba ambazo watoto walifia tumboni akina Mama hao wali ripoti historia ya kuongezeka kucheza kwa mtoto ghafla tumboni.

Mjamzito tambua ya kwamba mtoto huongezeka kucheza kadiri Mimba inavyokuwa tokea umeanza kuhisi mtoto anacheza tumboni na kufikia wiki ya 32 ndipo mtoto hucheza zaidi kuliko kawaida baada ya hapo huweza kupunguza kucheza au kuendelea kucheza kawaida mabadiliko hayo ni ya kawaida kabisa.

Mambo yanayopelekea mtoto kuanza kucheza zaidi ya kawaida ghafla huwa inaweza ashiria hatari kwa mtoto.
Na mambo yanayopelekea hivyo ni Kama ;

1. Hofu ya Mjamzito.

2. Matumizi ya Caffeine kwa Mjamzito

3. Upungufu wa hewa kwa mtoto akiwa tumboni(asphyxia) ambao huweza pelekea Dege Dege kwa mtoto akiwa tumboni.

4. Kujifunga au kubanwa kwa kondo la nyuma (cord entanglement).

5. Magonjwa Fulani ya kuambukizwa kutoka kwa Mama kwenda kwa mtoto akiwa tumboni.

NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇
   / drmwanyika  

Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#MamaAfya
#Mtotokuchezazaidi
#DrMwanyika

Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.

Je Mtoto hugeuka lini tumboni mwa Mjamzito? | Vitu gani pia hupelekea mtoto kutogeuka ktk Ujauzito?.

Je Mtoto hugeuka lini tumboni mwa Mjamzito? | Vitu gani pia hupelekea mtoto kutogeuka ktk Ujauzito?.

Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni!

Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni!

JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA MJAMZITO

JINSI YA KUHESABU SIKU YA KUJIFUNGUA MJAMZITO

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.

Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.

Je ni lini Mtoto hugeuka Tumboni?? | Ni Mambo gani hufanya Mtoto kutogeuka Tumboni mwa Mjamzito??

Je ni lini Mtoto hugeuka Tumboni?? | Ni Mambo gani hufanya Mtoto kutogeuka Tumboni mwa Mjamzito??

SABABU KUCHELEWA KUJIFUNGUA MAMA MJAMZITO | REASONS FOR DELAYED DELIVERY OF PREGNANT MOTHERS

SABABU KUCHELEWA KUJIFUNGUA MAMA MJAMZITO | REASONS FOR DELAYED DELIVERY OF PREGNANT MOTHERS

Почему османские принцессы БОЯЛИСЬ брачной ночи (Цензурировалось 600 лет)

Почему османские принцессы БОЯЛИСЬ брачной ночи (Цензурировалось 600 лет)

Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!

Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!

Embryology | Gastrulation

Embryology | Gastrulation

JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!

Je Dalili Za Mimba Ya Wiki 36/ Miezi 9 ni Zipi? ( Dalili 12 Mimba Ya Wiki 36)!

Предсказание Мессинга! Что будет 26 февраля 2026г?

Предсказание Мессинга! Что будет 26 февраля 2026г?

Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация

Первый триместр – течение беременности | 3D-анимация

Расположение акушерского ультразвукового датчика | Установка датчика для беременной матки и плода...

Расположение акушерского ультразвукового датчика | Установка датчика для беременной матки и плода...

Jinsia ya Mtoto aliyeko tumboni | Utajuaje jinsia ya Mtoto uliyembeba tumboni kabla ya kujifungua?

Jinsia ya Mtoto aliyeko tumboni | Utajuaje jinsia ya Mtoto uliyembeba tumboni kabla ya kujifungua?

Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)

Je Matunda Ya Kula Mjamzito Ni Yapi? (Matunda 20 Muhimu Kwa Mjamzito)

Как инуиты спят при -64°C без обогрева

Как инуиты спят при -64°C без обогрева

Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]