HALI MBAYA DODOMA, MAFURIKO YASOMBA HELA, VYAKULA, WANANCHI WALIA..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-12-23
Просмотров: 13898
HALI MBAYA DODOMA, MAFURIKO YASOMBA HELA, VYAKULA, WANANCHI WALIA..
Kaya 21 moja zimejikuta katika wakati mgumu katika kijiji cha chipogoro baada ya nyumba zao pamoja na chakula kusombwa na mafuriko ya mvua zinazoendea kunyesha nchini pote
global tv imefika katika eneo la tukio na kuzungumza na wakazi wa eneo ilo ambapo wameiomba serikali kuimalisha miundo mbinu ya barabara ya Iringa Dodoma kwa ujenzi Wa madaraja Kwa Kuwa Mafuriko hayo tamekuwa yakitokana na Ujenzi wa barabara
nae mtendaji wa kata hiyo ya chipogoro amesema uharibifu wa mazingira ambao umekuwa ukifanyika na wananchi wa maeneo hayo unachangia kutoa kwa mafuriko hayo kila mwaka wakati wa msimu mvua.
GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982)
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
https://www.youtube.com/playlist?li
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: