MANENO YA UMMY, YANAYOGONGA KICHWA CHA JANABI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-09-06
Просмотров: 1187
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema marekebisho ambayo Muhimbili inayafanya yanalenga kuongeza ushindani na hospitali binafsi ili kuhakikisha hospitali hiyo inaendelea kuwa kinara ya utoaji huduma za afya nchini.
Akizungumza katika mahojiano maalumu, Prof. Janabi amesema idadi kubwa ya watu wanaoenda kupata huduma katika hospitali binafsi huvutiwa na mazingira pamoja na huduma za haraka.
"Hiki ndicho Menejimenti ya Muhimbili inafanya ... Kwa bahati hapa ndipo walipo mabingwa kuzidi hospitali nyingine kote nchini," amesema akieleza kuwa utaratibu wa kuzuia magari haukulenga kutengeneza faida bali kupunguza ongezeko la magari hospitalini hapo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: