Mjue Kassim Manara | Kufukuzwa Taifa Stars hadi kukanyaga Santiago Bernabeu
Автор: Azam TV
Загружено: 2024-07-02
Просмотров: 831
Simulizi ya Kassim Manara ndugu wa Sunday na Kitwana Manara, wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars akizungumzia maisha yake ya soka kuanza hadi kustaafu kwake kwa majonzi mazito.
Makala hii;
Imeandaliwa na Bin Zubeiry
Imesimuliwa na @abuuyusuftz
Mhariri Video ni Dickson Chorwa
#AzamSports #Makala #KassimManara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: