WANUSURIKA KATIKA AJALI DEREVA ANASA KWA MAASAA.
Автор: TZA MEDIA HUB
Загружено: 2024-08-05
Просмотров: 266
Watu wawili wamenusurika kifo katika ajali ya gari katika eneo la Sigino wilayani Babati mkoani Manyara baada gari aina ya Kenta nye namba za usajili T216 BCQ lilikuwa likitokea Shinyanga kuelekea Mkoani Arusha kukwama mfumo wa breki na kupinduka.
Waliopata majeraha katika ajali hiyo I dereva na utingongo wake ambapo Dereva alikwama Kwa zaidi ya Saa mbili huku jitihada mbalimbali zikifanyika na jeshi la zimamoto na uokoaji pamoja na wananchi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: