Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Imani [Misingi yake ya Kweli] Mwl Eliya Lsn 1, 150925

Автор: Mwalimu Eliya

Загружено: 2025-12-26

Просмотров: 28

Описание:

Baadhi ya watu hudai kuwa wao ni waumini wa dini, hata hivyo, wanashindwa kuelewa maana ya “imani.” Imani ni nini, na kwa nini ni muhimu kuwa na imani?

Msingi wa Imani yetu kama Wakristo ni Mungu , msingi wake ni Mwokozi, hutubadilisha, na matokeo katika utendaji wa kile Alichofanya kazi ndani yake.

Imani ni nini?
WATU HUSEMA NINI?
Wengi hufikiri kwamba mtu mwenye imani huamini jambo kwa urahisi bila kuwa na uthibitisho kamili. Kwa mfano, fikiria mtu fulani wa dini anayesema, “Ninamwamini Mungu.” Iwapo anaulizwa, “Kwa nini unaamini?” huenda akajibu, “Nimelelewa hivyo” au, “Nimefundishwa hivyo tangu utoto.” Katika visa hivyo, inaweza kuonekana kwamba kuna tofauti dogo kati ya kuwa na imani na kuamini bila msingi.

BIBLIA INASEMA NINI?
“Imani ni tarajio lililohakikishwa la mambo yanayotumainiwa, uthibitisho ulio wazi wa mambo halisi ingawa hayaonekani.” (Waebrania 11:1) Ili kuwa na tarajio hakika, ni lazima kuwepo na sababu za msingi za kuamini jambo. Kihalisi, neno la lugha ya awali linalotafsiriwa “tarajio lililohakikishwa” lina maana pana zaidi ya kuwa na hisia za ndani tu au kupenda jambo fulani. Hivyo imani inahusisha uhakikisho unaotegemea uthibitisho hakika.

SAIDIA HUDUMA KWA KUCHANGIA
Airtel money: +255 (0) 784 662 2210

KUSUDI LANGU:
►Kufundisha watu kumfahamu na kumjua Mungu (JEHOVA)
►Kufundisha watu kutembea katika nguvu za Roho Mtakatifu wa Mungu.
►Kuwatia moyo na kuwafundisha watu kumjua Mungu wao na kumtii.
►Kuwajulisha watu kwa Mwana wa Mungu, Yesu Kristo.

► Youtube @ / @injilinjeyakutazakanisa
► Ungana nasi Instagram: / mwl.eliya

➲Ikiwa unapenda mafundisho yetu na ungependa kupata taarifa mpya kila wakati, tafadhali jiandikishe na ubonyeze kengele🔔 (karibu na kitufe cha kujiunga) ili kupokea taarifa mpya!!!

TAFADHALI KUMBUKA:
Mafundisho ama maoni yoyote kati ya yatayotolewa na wafundishaji si lazima yawakilishe maoni ya chaneli hii “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ au mafundisho mingine yoyote ambayo yanaweza kuwa au kusudiwa. Injili nje ya Kuta za Kanisa haiwatetei wala kuunga mkono shughuli yoyote isiyo halali ama inayokiuka sheria za nchi kwa mtu yeyote au jumuiya.

ILANI YA HAKI MILIKI:
Tunamruhusu mtu yeyote kutafsiri maudhui ya mafundisho yetu na kushirikisha wengine video lakini video lazima ibaki ikiwa na chapa chini “Injili nje ya Kuta za Kanisa – inkmidia2007 “ (yenye nembo yetu na kiunganishi cha chaneli hii) wazungumzaji wote wanapaswa pia kutambuliwa katika maelezo,

ZINGATIO: Hatufungani wala Kuchangamana na Taasisi, Dini ama Dhehebu lolote, kwetu ni nguvu za Mungu katika Neno lake!

Imani [Misingi yake ya Kweli] Mwl Eliya Lsn 1, 150925

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Kuzaliwa Mara ya Pili Maana yake ni nini? | Mwal. Eliya Lsn 3, 160925

Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925

Imani [Kitu Hai, Kinacho ishi na Kukua] Mwl Eliya Lsn 1, 150925

Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825

Biblia [Kwanini ni ngumu kueleweka] Mwl Eliya Lsn 6, 250825

NAMAYANI LAIZER _EMAYANATA ORMWENYEKITI LEE NKIJIJI_ILCHANG'ISAPUKINI

NAMAYANI LAIZER _EMAYANATA ORMWENYEKITI LEE NKIJIJI_ILCHANG'ISAPUKINI

Ukweli Usiosemwa Kuhusu Kuishi Germany | Soga za Diaspora 🇩🇪

Ukweli Usiosemwa Kuhusu Kuishi Germany | Soga za Diaspora 🇩🇪

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925

Kuzaliwa Mara ya Pili Inamaanisha nini? | Mwal. Eliya Lsn 1, 160925

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl Eliya Lsn 1, 220925

Украинцы в Германии. Роды в Германии

Украинцы в Германии. Роды в Германии

Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625

Biblia Ifunzavyo | Mwl. Eliya Lsn 1, 080625

Многие христиане это делают, но Библия запрещает

Многие христиане это делают, но Библия запрещает

Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925

Kwanini Uzaliwe Mara ya Pili? | Mwal. Eliya Lsn 2, 160925

"Вавилон, Изкуственият интелект и Пророчеството" п-р Дъг Бачелър СУБТИТРИ

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925

Biblia [Ni chakula cha Mwamini] Mwl ELiya Lsn 3, 220925

MARAYIKA WAWE YONGERE AMANUKE  |

MARAYIKA WAWE YONGERE AMANUKE |

HIVI NDIVYO DHAMBI ZA SIRI ZINAVYOZUIA KARAMA, VIPAWA NA HUDUMA ZA WATU | EV DANIELY JOSHUAN

HIVI NDIVYO DHAMBI ZA SIRI ZINAVYOZUIA KARAMA, VIPAWA NA HUDUMA ZA WATU | EV DANIELY JOSHUAN

29 декабря 2025 г.

29 декабря 2025 г.

Mkristo Ni Mtu wa namna gani? | Mwal. Eliya Lsn 1, 200925

Mkristo Ni Mtu wa namna gani? | Mwal. Eliya Lsn 1, 200925

Kazanie - ks. P. Natanek 01.01.2026

Kazanie - ks. P. Natanek 01.01.2026

Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako

Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako

Ushauri wangu wa Bure kwako  | Mwl Eliya 1, 2025

Ushauri wangu wa Bure kwako | Mwl Eliya 1, 2025

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]