TAARIFA 15 ZA UTAFITI WA SHERIA ZIMEWASILISHWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, - GEORGE MANDEPO
Автор: tumesheria tanzania
Загружено: 2025-11-20
Просмотров: 49
Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Bw, George Mandepo, amesema taarifa 15 za Utafiti wa sheria katika kipindi cha mwaka 2023/24 -2024/25 zilikamilika na kuwasilishwa kwa Waziri wa Katiba na Sheria .
Mandepo ameyasema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji kazi ya Tume hiyo mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Eliakim Maswi aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa kikao cha Baraza la wafanyakazi la Tume hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Sanaan Jijini Dodoma tarehe 19 Novemba 2025.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: