Ali Karume arusha makombora makali kwa Rais Mwinyi
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2023-05-29
Просмотров: 93528
Mwanadiplomasia na mwanasiasa mstaafu, Balozi Ali Karume, ametumia mazungumzo yake na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi kupitia ukumbi wa Clubhouse kutoa mashambulizi makali dhidi ya utawala wa awamu ya nane unaoongozwa na Rais Hussein Ali Mwinyi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: