CCM YAMTIMUA ALI KARUME USIKU WA MANANE BAADA YA BALOZI HUYO KULIANZISHA TENA
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2023-07-08
Просмотров: 70756
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini #Unguja imemfuta Uanachama Kada wake, Balozi Ali Karume, aliyekuwa kwenye mvutano na Chama hicho pamoja na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Hussien Mwinyi
Kwa mujibu wa Taarifa ya Katibu Mwenezi, Ali Timamu Haji, Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika Saa 7 usiku wa kuamkia leo Julai 8, 2023 kikiongozwa na Katibu wa CCM Mkoa, Amina Mnacho
Balozi Karume ameituhumu CCM kuingia Madarakani kwa wizi wa Kura, akidai haijawahi kushinda Urais Zanzibar. Pia, Serikali imetwaa Ardhi ya Familia ya Karume.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: