MAJAJI NA MAHAKIMU WAKUMBUSHWA KUTENDA HAKI ILI KUKABILIANA NA UVUNJIFU WA AMANI.
Автор: BONGO PLAY TELEVISION
Загружено: 2025-12-15
Просмотров: 22
Mwenyekiti wa chama cha wanansheria Tanganyika (TLS) kanda ya Iringa Moses Ambindwile, ameshauri wananchi kupatiwa elimu ya Tehama ambayo itawasaidia kuendana na teknolojia ambayo kwa sasa hutumika Zaidi katika mahakama za hapa nchini
Ambindwile ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari katika kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya kuanzishwa kwa mahakama kuu kanda ya Iringa na kusema kuwa teknoloji inapofika huwa haieleweki kwa wananchi wengi hivyo ni vyema elimu ikatolewa kwa watu wa kada ya chini ili wafahmu kutumia mfumo wa Tehama husuan kwa mwananchi ambaye hana mwanasheria katika mashauri yanayofikishwa mahakamani.
Akizungumzia mafanikio ya miaka 20 ya mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Iringa Ambindwile amesema kuwa imesaidia kuondoa mlundikano wa kesi kwani watu walikuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata huduma za katika mahakama kuu ya Songea au Mbeya jambo lililokuwa likiwapa wakati mgumu wananchi.
Ameongeza kuwa hapo awali mashauri yaliyokuwa yakichelewa kutolewa maamuzi kutokana n
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: