Rais Magufuli Atoa misaada Prof Kabudi Azungumza
Автор: Luckyson LG
Загружено: 2019-03-19
Просмотров: 67
#Tanzania #Msumbiji #Malawi #zimbabwe
• Rais Magufuli Atoa misaada Prof Kabudi Azu...
ya Tanzania imetoa msaada wa dawa, chakula na vifaa vya kujihifadhi kwa nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa kimbunga cha Idai kilichosababisha mafuriko yaliyozikumba nchi hizo tangu wiki iliyopita.
Msaada huo umekabidhiwa kwa Mabalozi wa nchi hizo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: