"MNASEMA HATUNA MVUTO, MNATAKA KUTUOA"-JOSEPH SELASINI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-06-27
Просмотров: 9925
Leo June 27 2020 Chama cha NCCR Mageuzi kikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia wamekutana katika kikao cha watia nia wa ubunge kupitia chama hicho ambapo pamoja na mambo mengine Mwenyekiti wa chama hicho amekabidhi kadi kwa wanachama wapya wakiwemo waliokuwa wabunge wanne kutoka CHADEMA. Joseph Selasini ni mmoja wa waliokabidhiwa kadi leo na hapa akapata nafasi ya kuzungumza
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: