Manispaa ya Lindi na mkakati wa Smart Area
Автор: Sambaza Ufahamu Online Tv
Загружено: 2025-10-07
Просмотров: 34
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi imejipanga kuhakikisha maeneo ya Mjini yote yanakuwa Smart kwa mpango maalum uliopewa jina la "Lindi Smart Area"
Mpango huo ni pamoja na kuhakikisha kwamba maeneo yote yanakuwa yameimarika kwa usafi nyakati zote.
#durusuzahistoria #sambazaufahamutanzania #linditanzania #lindiniyetusotetuijenge
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: