Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

TANGA UWASA RASMI KUHUDUMIA KILAPULA, MUHEZA

Автор: Tangauwasa TV

Загружено: 2024-06-24

Просмотров: 883

Описание:

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) ameilekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TangaUWASA) kuanza rasmi kutoa huduma katika eneo la Kilapula wilaya ya Muheza kuanzia Julai, 2024 ambapo awali eneo hilo lilikuwa likipatiwa huduma na Wakala wa Usambazaji maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kanda ya Muheza, Tanga.

Maelekezo hayo ameyatoa katika Mkutano wa hadhara na wananchi wa eneo la kilapula Wilaya ya Muheza pamoja na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji ikiwemo mradi wa vizimba ya kutolea maji eneo la Kilapula wenye thamani ya Shilingi Milioni 156 ambapo Tanga UWASA imefanya ukarabati wa mradi huo kwa kulaza mabomba yenye urefu wa 2.5 km pamoja na mradi wa maji wa Miji 28.

TANGA UWASA RASMI KUHUDUMIA KILAPULA, MUHEZA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

NGOMA NZITO: Ifahamu ngoma ya Msanja kutoka Tanga, inavyochezwa na asili yake

Emaus Band Kahama,Tanzania Mwanadamu Official Video

Mwanafunzi Aliemshangaza Rais Samia Tanga

EMMAUS BAND KAHAMA - MKUMBUKE MUNGU (OFFICIAL VIDEO)

MKOA WA TANGA WAANZA KUNUFAIKA NA MIKAKATI YA UFUFUAJI WA VIWANDA

LIVE: New crew launches to ISS from Baikonur, Kazakhstan

MRADI WA MAJI MIJI 28 KUIBADILI TANGA

MRADI WA MAJI MIJI 28 KUIBADILI TANGA

KWAYA YA MT KIZITO   CHOZI LA DAMU

KWAYA YA MT KIZITO CHOZI LA DAMU

*WANANCHI WA KILAPULA WILAYA MUHEZA WAMLILIA NAIBU WAZIRI WA MAJI*

TANGA: UKIITAZAMA UTAIPENDA JINSI ILIVYO PAMBWA /UREMBO,UTAMADUNI,VYAKULA NA KAZI ZAO.

КАВКАЗ! Редкие кадры из ЖИЗНИ ПАСТУХОВ! Рецепт настоящего БЕШБАРМАКА! Хычины! Жизнь балкарцев

Amazing Creations from Cement and Wooden Pallets - DIY Outdoor Kitchen Table

ВОССТАНОВЛЕНИЕ НЕРВНОЙ СИСТЕМЫ 🌸 Нежная музыка, успокаивает нервную систему и радует душу #6

Chory z nienawiści Tusk uniemożliwia prezydentowi kontakt z szefami służb specjalnych!! | W Punkt

MKWAKWANI TANGA ZIARA YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN JIJINI TANGA

ЧТО СДЕЛАЛ АНДРОПОВ С НАСИЛЬНИКАМИ СВОЕЙ ДОЧЕРИ? КГБ ДЕЙСТВОВАЛ без пощады!

DC TANGA ATEMBELEA MIUNDOMBINU YA TANGA UWASA

Предатель в орденах! Как простая учительница разоблачила героя!

Она посмеялась над русским Спецназом – Чем закончился поединок на ножах с инструктором ССО?

🍹 Best Summer Relaxing Vibes Mix 2025 | Chill Tropical Deep House 4K Ultra HD | XDeep Music

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]