Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MRADI WA MAJI MIJI 28 KUIBADILI TANGA

Автор: Tangauwasa TV

Загружено: 2025-05-07

Просмотров: 386

Описание:

MIJI 28 KUIBADILI TANGA KATIKA HUDUMA YA MAJI

Serikali ya Awamu ya Sita imendelea kutekeleza miradi ya maji ili kuwafikia wananchi.

Moja ya mradi ni mradi wa Miji 28 mkoani Tanga ili kufikia lengo la upatikanaji maji asilimia 85 vijijini na 95 mjini ifikapo mwezi Disemba 2025

Mradi wa maji wa miji 28 wa Handeni - Muheza Korogwe na Pangani ni miongoni mwa miradi inayoenda kubadili na kuleta mapinduzi katika huduma ya maji.

Mradi umelenga kuongeza uwezo wa kuzalisha maji kutoka mita za ujazo 5,500
kwa siku hadi mita za ujazo 52,000 kwa siku. Ni uwekezaji mkubwa uliofanikiwa kwa sapoti ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kazi zilizofanyika hadi sasa katika utekelezaji wa mradi imefika asilimia 67.

Ujenzi unahusidha ujenzi wa dakio (water intake) kutoka katika chanzo cha mto Pangani,ujenzi wa chujio, ujenzi wa vituo viwili vya kusukuma maji, ulazaji wa bomba kuu la maji
urefu wa kilomita 188,na ujenzi wa matenki nane ya kuhifadhia maji yenye ukubwa tofauti.

MRADI WA MAJI MIJI 28 KUIBADILI TANGA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

КРАСОТА ТАНЗАНИИ, МЫ ГОВОРИМ О ТАНГА

КРАСОТА ТАНЗАНИИ, МЫ ГОВОРИМ О ТАНГА

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

MAENDELEO YA HALI YA UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI PANGANI MJINI

MAENDELEO YA HALI YA UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI PANGANI MJINI

TANGA: UKIITAZAMA UTAIPENDA JINSI ILIVYO PAMBWA /UREMBO,UTAMADUNI,VYAKULA NA KAZI ZAO.

TANGA: UKIITAZAMA UTAIPENDA JINSI ILIVYO PAMBWA /UREMBO,UTAMADUNI,VYAKULA NA KAZI ZAO.

UNDANI YALIYOJIFICHA ZIARA YA RAIS SAMIA DARAJA LA PANGANI

UNDANI YALIYOJIFICHA ZIARA YA RAIS SAMIA DARAJA LA PANGANI

MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA WAIPONGEZA SERIKALI UJENZI WA SKANA MUTUKULA

MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA WAIPONGEZA SERIKALI UJENZI WA SKANA MUTUKULA

TAIFA Project Documentary

TAIFA Project Documentary

KWA MARA YA KWANZA MELI YENYE MAGARI 322 YATIA NANGA BANDARI YA TANGA.

KWA MARA YA KWANZA MELI YENYE MAGARI 322 YATIA NANGA BANDARI YA TANGA.

RELI YAREJEA KAZINI, BANDARI YA TANGA KWENDA BURUNDI.

RELI YAREJEA KAZINI, BANDARI YA TANGA KWENDA BURUNDI.

MKOA WA TANGA WAANZA KUNUFAIKA NA MIKAKATI YA UFUFUAJI WA VIWANDA

MKOA WA TANGA WAANZA KUNUFAIKA NA MIKAKATI YA UFUFUAJI WA VIWANDA

DC TANGA ATEMBELEA MIUNDOMBINU YA TANGA UWASA

DC TANGA ATEMBELEA MIUNDOMBINU YA TANGA UWASA

NDEGE KUBWA KUANZA KUTUA TANGA BAADA YA MABORESHO MAKUBWA YA UWANJA, N/WAZIRI AELEZA

NDEGE KUBWA KUANZA KUTUA TANGA BAADA YA MABORESHO MAKUBWA YA UWANJA, N/WAZIRI AELEZA

Pakistan’s Genius Idea to Transport Tons of Sugarcane Waste By Truck

Pakistan’s Genius Idea to Transport Tons of Sugarcane Waste By Truck

🔴 MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

🔴 MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIHUTUBIA WANANCHI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

MJI MPYA || Ifahamu Kange Uzunguni ndani ya jiji la Tanga

MJI MPYA || Ifahamu Kange Uzunguni ndani ya jiji la Tanga

jijini  Tanga Tanzania

jijini Tanga Tanzania

ONA MELI KUBWA ILIYOBEBA SHEHENA ya MIZIGO KUTOKA URUSI ILIVYOTIA NANGA BANDARI ya TANGA...

ONA MELI KUBWA ILIYOBEBA SHEHENA ya MIZIGO KUTOKA URUSI ILIVYOTIA NANGA BANDARI ya TANGA...

CITIZEN NIPASHE NOV 27TH, 2025

CITIZEN NIPASHE NOV 27TH, 2025

MELI KUBWA YA MAGARI YATIA NANGA BANDARI YA TANGA.

MELI KUBWA YA MAGARI YATIA NANGA BANDARI YA TANGA.

BANDARI YA TANGA YAZINDUA TRENI YA KUSAFIRISHA MIZIGO NJE YA NCHI.

BANDARI YA TANGA YAZINDUA TRENI YA KUSAFIRISHA MIZIGO NJE YA NCHI.

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]