JINSI YA KUFANYA SPLIT SCREEN (WINDOW 10)
Автор: Danny
Загружено: 2022-03-15
Просмотров: 19
Katika video hii utajifunza ni namna gani unaweza kugawanya screen ya computer yako ukitumia kwa matumizi tofauti tofauti.
mfano; upande mmoja wa computer yako ukaweka muziki kwa application tofauti na upande mwingine wa computer yako ukawa unaedit picha kwa application tofauti pia.
karibu kutazama video hii ukajifunze na mambo mengine zaidi.
Nimelezea njia mbili moja ikiwa ni direct na nyingine ukitumia keyboard shortcut.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: