Jinsi Mtaji wa 1 Milioni Unatosha Biashara ya Vinywaji yenye Faida!
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-02-12
Просмотров: 1576
Mtaji wa milioni moja unakutosha kuanzisha biashara ya vinywaji yenye faida?
Moja kati ya changamoto zinazo mkabili mjasiriamali anayetaka kuanzisha biashara ya vinywaji ni kukadiria kiasi cha mtaji kinacho hitajika
Sasa basi kama una mtaji wa milioni moja, unadhani unatosha kuanzisha biashara ya vinywaji?
Katika kipindi hiki nitaeleza mambo ya kutafakari wakati unafanya makadirio ya mtaji wa biashara ya vinywaji
Hii ni Tan Business Channel Online TV ikitangaza kutoka Dar es salaam, Tanzania
Mimi ni mtangazaji wa kipindi, Ali Mwambola
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: Accounting basics for entrepreneurs course
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439 na [email protected]
4. Pata habari za ujasiriamali kupitia website: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
You Tube: / @alimwambola
#jifunzeujasiriamali #biashara #alimwmabola #fursazabiashara # kuanzishabiashara #mtajiwabiashara #mjasiriamali #ujasiriamali #faidayabiashara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: