Fahamu kama mtaji wa milioni 4 unatosha biashara ya sembe
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-05-28
Просмотров: 463
Fahamu kama mtaji wa milioni 4 unatosha biashara ya sembe
Nimekuwa napata maswali mengi kutoka kwa wadau wakitaka kufahamu kiasi cha mtaji kinachotosha kuanzisha biashara mbali mbali
Kutosha au kutotosha kwa mtaji wa kuanzisha biashara hutegemea vigezo vya mtaji na mahitaji ya anayetaka kuanzisha biashara
Kipindi cha leo cha Dira ya Ujasiriamali nitaeleza jinsi mtaji wa milioni 4 zinatosha kuanzisha biashara ya unga wa sembe
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali #biasharayasembe #sembe #unga
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: