MY FIRST SNOW EXPERIENCE IN GERMANY
Автор: AllenInGermany
Загружено: 2021-04-12
Просмотров: 194
Kwa mara ya kwanza Nchini Ujerumani, nimepata fursa na changamoto katika kipindi hiki cha majira ya baridi (Winter time). Maisha yalikuwa ya furaha na karaha pia. Na sasa kwenye maisha yangu kwapamoja nimeishi vipindi vyote vya majira ya mwaka. (Winter, Summer, Spring pamoja na Fall.)
Kwa habari zaidi na matukio mbalimbali unaweza kuyapata au kuyaona kwenye socialmedia
Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?...
Instagram: @mafalla263909
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: