BARIDI KALI YAUA NCHINI MAREKANI
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2021-02-18
Просмотров: 5913
Hali ya hewa ya Aktiki tayari imeua watu 10 na kusababisha mamilioni kukosa umeme hapa Marekani wiki hii, baada ya theluji nzito kuanguka na kuleta hali ya hatari katika maeneo kadhaa ya nchi.Idara ya Hali ya Hewa ya Kitaifa (NWS) ilionya juu ya maeneo ambayo hayajawahi kukumbwa na hali ya hewa ya hatari wakati wa msimu wa baridi kali kutoka pwani hadi pwani, na zaidi ya Wamarekani milioni 150 wamepewa ushauri juu ya tahadhari ya hali ya hewa ya msimu wa baridi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: